Incubator ya kisasa kabisa ya mayai 360.
totolesha mayai ya kuku, bata, bata mzinga, njiwa na kanga.
inatumia umeme au sola/betri ya 12v
ina ufanisi mkubwa wa zaidi ya 96%
ni full automatic na inageuza mayai yenyewe.
inakupa urahisi wa kutoa na kuweka mayai kwenye trei bila ya kuzima incubator.
utapata ofa feeder na drinker pamoja na egg tester bure.
Note:
Betri na sola panel havijajumuishwa kwenye bei