Hutengenezwa frame ya greenhouse ambapo hizi hushikilia muundo mzima wa greenhouse,hushikilia shade net au plastic cover,huimarisha muundo na kufanya greenhouse iwe imara dhidi ya upepo na mvua,kufunga milango na madirisha ambapo hutumika kama fremu ya milango na ventilation pamoja na kugawanya ndani ya greenhouse kwa partitions au support za ndani.