Katika matumizi ya kilimo hutumika katika ufugaji wa samaki nahifadhi ya maji kwa sababu ni imara ngumu na zinadumu kwa muda mrefu na bei yake ni nafuu kabisa hazitoboki kirahisi,zinastahimili jua na baridi,rahisi kufunga, inapunguza gharama ya maji na inafaa kwa matumizi ya ndani na nje hata kwenye water garden, swimming ponds na kuhifadhi maji ya kawaida.