Hizi zinatofautiana katika bei kutokana na Inches pia Kuna za kuanzia robo tatu mpaka Inche Tano kulingana na matumizi ni nzuri bora na imara na zinadumu kwa muda mrefu kwa sababu ni ngumu na zinatumika zaidi ya mara moja na kuendelea zinapatikana kwa size zote karibuni sana.