Hii ni size kubwa ya PY Sprinkler nzuri kwa matumizi ya shambani kumwagilia mazao na mimea pamoja na kusafisha maeneo makubwa kama viwanja, maghala au mabanda ya wanyama pamoja na kulinda mimea dhidi ya baridi kwa kunyunyizia maji kusaidia mimea usiharibike wakati wa baridi Kali.