tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Food, Agriculture & Farming
  3. Farm Machinery & Equipment
  4. Ploughs
  5. Ina Farm Machinery & Equipment
Dar es Salaam, Kinondoni, 08/09
2 views

ACHANA NA JEMBE! RT155 Power Tiller 15HP – Lima Ekari 8 Kwa Siku

+1
Power Tillers
Type
Brand New
Condition
Tunauza rt155 power tiller power tiller yenye nguvu, imara na ufanisi mkubwa kwenye matumizi ya kilimo! rt155 power tiller ya mikono mirefu inapatikana muda wowote kwa wakulima wanaotaka kuongeza kasi na ufanisi wa kulima mashamba yao. vinavyokuja navyo: ✓ diesel engine ✓ chassis imara ✓ gearbox ✓ skid wheels 2 ✓ rubber tyres 2 ✓ disk plough ✓ mould board plough ✓ rake uwezo wa mashine: ✓ ina uwezo wa kulima zaidi ya ekari 8 kwa siku ✓ nguvu ya horsepower 15hp ✓ original kutoka japan ✓ warranty ya mwaka 1 ✓ vipuri vyote vinapatikana bei: 9,500,000/= tsh piga simu: tupo: dar es salaam, tegeta
TSh 9,500,000
2 Feedbackview all
Report Abuse
Safety tips
  • Avoid paying in advance, even for delivery
  • Meet with the seller at a safe public place
  • First, check what you're going to buy to make sure it's what you need
  • Only pay if you're satisfied
frame_left.gif