*Ni incubator machine fully automatic kila kitu
*Inabeba mayai 528 sawa na trey 18
*Ina feni kubwa na ya kisasa kabisa kwaajiri ya usambaza hewa ndani ya machine
*Inatumia umeme wa TANESCO na GENERATOR
*Inajicontrol yenyewe automatic TEMPERATURE na HUMIDITY
*Ina muungurumo mdogo usio keraa na ni simple shape
*Imetengenezwa na hard body material mazuri yasio shikwa na kutuu
*Ni fully automatic eggs turn kila baada ya dakika 90