Kazi yake ni kuchuja uchafu wote na kuondoa takataka zote zinasababisha kuziba kwa drip lines wakati wa umwagiliaji kama vile mchanga, tope, majani ili kurahisisha shughuli za umwagiliaji kwenye greenhouse, Drip irrigation pamoja na mfumo wa maji safi.