Hizi hutumika kumwagilia mashamba makubwa katika kilimo cha umwagiliaji ni nzuri kwa matumizi ya kilimo, bustani na viwanda vya kusafisha maeneo makubwa na vumbi viwandani kwa kusambaza maji kwa umbali mrefu na inafaa kwa matumizi ya nyumbani na shambani pia.