Hutumika kunyunyizia maji kwa umbali mkubwa kama mvua, kusambaza maji sawa sawa shambani, kupunguza muda wa kumwagilia yaani kuokoa muda wa kufanya kazi, kuokoa maji ukilinganisha na kumwagilia kwa bomba la kawaida, kufunika eneo kubwa kwa haraka zaidi kwa umwagiliaji wa bustani