mashine bora ya kutotoleshea vifaranga
inatumia umeme wa single phase
inageuza mayai automatic yenyewe
inaangua mayai ya aina zote kwa ufanisi 98%
ni ngum na imara zaidi zisizoo shika kutu
inacotrol joto automatic na unyevu
ina sensor imara na ngum zaidi ambazo zinadum