■ FAIDA YA KUTUMIA MAX PIG SUPER MEAT.
-Nguruwe hukuwa haraka pasipo kudumaa na kuongeza uzalishaji wa nyamaa Tamu isiyo na mafuta mengi yenye hadhi ya kimataifa.
-Nguruwe kuingia joto kwa wakati na kupelekeea kuzaa watoto wengi wenye afya njema.
-Huboresha kinga ya mwili hivyo nguruwe hustaimili magonjwa (Sahau kutibu).
-Hupunguza gharama ya ulishaji kwani 1Kg ya max pig inaweza kuchanganya kwenye nusu tani ya chakula chako na nguruwe wako na akapata lishe yote (Mlo kamili).
-Huondoa harufu mbaya bandani (Hutopata kero za mairani).
-Huongeza hamu ya kula kutokana na utamu usio wa kawaida wa max pig pamoja na harufu nzuri.
■ Jinsi ya kuanza kuitumia max pig punde tu baada ya kuipata kutoka Mifugo plus.
-Chukuwa 1Kg ya max pig kisha changanya kwenye chakula chako chenye Kg500/ nusu tani ulichokwisha andaaa tayari.
.