Home/office rotatable security camera
Security camera inayozunguka pande zote kushoto kulia, juu na chini.
kukuwezesha kuona pande zote za eneo lako ulipoweka,
-ina tumia internet ya Wi-Fi kutuma picha popote ulipo uone kinachoendelea,
-unaweza kufunga juu kwenye ukuta au roof,
-popote inafungwa au pia unaweza weka juu ya kabati au meza popote pale inakaa,
-inatumia waya wa USB kama power supply,
-kwa maelezo zaidi au manunuzi tupigie
au bonyeza chini hapo kuwasiliana direct meseji au kupiga simu