Appreciation Award (Tuzo) kwa ajili ya yule mtu wako wa thamani, anaweza kuwa Boss, mfanyakazi, mzazi au yeyote unayeona anastahili pongezi. Tuzo za shape tofauti tofauti tunatengeneza kulingana na hitaji lako. Ni nzito na zina Gold yenye kuongeza mvuto zaidi. Tunapokea Oda za Tuzo kwa ajili Event mbalimbali.