🏘🏘🏠apartment for rent
(nyumba zinapangishwa)
zipo 4 ndani ya fense moja
location:: mbezi msumi ""a""
kodi::tsh. 400,000/= @ one per month,
--malipo ni miezi 6, plus one month for an agent.
maelezo kuhusu nyumba
(house's descriptions)
-
--zina vyumba vitatu vya kulala, kimoja ikiwa ni master bedroom.
--seble na dinning
--jiko na stoo
--public toilets
--car parking
--maji bure
--umeme unajitegemea
--zipo ndani ya fense na geti
note:: electric fence itawekwa muda si mrefu.
agent services for viewing apartment
tsh.20,000/=
- miundombinu ipo safi na lami ipo mbioni.
wasiliana na pango estate agency