Mtaalamu wa ufungaji na ukarabati wa umeme (Electrician) mwenye uzoefu. Tunafanya wiring ya nyumba, ufungaji wa vifaa vya umeme, kutatua hitilafu (shoti), na matengenezo ya mifumo ya umeme kwa viwango vya juu vya usalama. Wasiliana nasi kwa huduma bora na ya kuaminika.
+