Inauzwa kompyuta mpakato (laptop) aina ya Microsoft Surface Laptop Go, ipo katika hali nzuri sana na inafanya kazi kwa haraka sana. Inafaa sana kwa wanafunzi wa chuo, matumizi ya ofisini, na kazi za kila siku.
Sifa zake (Specifications):
• RAM: 16 GB (Inafanya kompyuta isikwame kabisa)
• Storage: 256 GB SSD (Inawaka na kufungua mafaili kwa sekunde chache)
• Processor: Intel Core i5 (10th Gen)
• Mfumo: Windows 11 Pro operating system
• Kioo: Touchscreen (Unaweza kugusa kioo)
• Muonekano ni mwepesi na wa kisasa (Slim & Premium design), rahisi kubeba.