Hp probook imetumika miaka 2 tuu, ni monster mashine yenye uwezo wa kucheza games zote na kufanya video production kwa ufanisi.
ina graphic card mbili intel na amd radeon graphic card 2gb dedicated hivyo ni switchable kulingana na uzito wa kazi.
cpu- core i5 2.4 ghz 6th gen
ram - 8gb na slot moja iko wazi kuongeza ram nyingine
graphics -
intel hd graphics 520 4gbmemory
amd radeon r7 2gb dedicated
hdd - 500gb
ina video production applications kwa anaye hitaji apewe nazo ...
windows 10 latest 2020 pro workstation best for huge tasks .
karibu
Condition: Used,
Processor: Intel Core i5,
Display Size: 14"