Battery inakaa masaa 2 had 3 kulingan na matumiz ila speaker zina saut kdg na ina crack kidogo upande mmoja wa kushikilia monitor na haina shida nyengne yoyote, unafany kaz zote bila tatzo
Condition: Used,
Processor: Intel Core i5,
Display Size: 12" / 12.3"