Nauza desktop computer yangu, imetumika miezi 5 tu. nakupa ikiwa complete, screen inch 19, keyboard, mouse na waya zake zote
ni nzuri kwa matumizi ya kiofisi, library, music making, shule.
ina windows 7 pro full activated, drivers zote installed
ina fl studio 20.7 na plugins kibao,
ina fifa 14, pes 15, ghost recorn na need for speed.
movies zipo zilizotafsiriwa na ambazo hazijatafsiriwa
Condition: Used,
Processor: Intel,
Display Size: 19"