Sifa za fashionable Charging Wireless Bluetooth Mouse 2021
1. Huitaji kuweka au kununua betri kila muda
2. Una ondokona na usumbufu wa kutembea na waya waya
3. Uki chaji mara moja waweza tumia ndani ya mwez 1 mpaka miez 2 kulingana na matumiz yako ya kila siku
4. Kuchaji ni masaa 2 tuhh baada ya hapo maisha ya matumizi yana
endelea
5. Una weza kuchaji kwa kutumia chaji yako ya simu ya android
6. Haina makelele pale unapo itumia kama zile za waya,
7. Una weza tumia kwenye vifaa mbalimbali zikiwemo kompyuta, simu, smart tv, tablet
Condition: Brand New