Nimeagiza hizi cargo mbili kali sana kutoka duka la Instagram wiki hii kwa 100k lakini size haijanikaa vizuri mwilini na duka hawafanyi returns au exchanges. Mzigo ni mpya 100% haujavaliwa na lebo/tags zake bado zipo kabisa.
• Size: 32
• Rangi: Olive Green na Peach
• Bei: Moja ni 45,000/- TSh. Ukichukua zote mbili nakupa kwa 80,000/- TSh fixed uokoe hela yako!
• Delivery: Gharama ya usafiri unalipa wewe mteja. Nazituma kwa Boda Boda popote ulipo Dar es Salaam. Nicheki hapa au nipigie simu fasta tufanye biashara.