"Habari! Karibu sana Duka letu lina bidhaa bora kabisa kwa watoto kuanzia wachanga (0) hadi miaka 7. Bei zetu ni nafuu sana: Nguo zinaanza kuanzia 5,000/=, Kofia za watoto kuanzia 3,000/=, na Soksi kuanzia 1,000/=. Delivery kwa gharama nafuu, mikoani tunatuma. Shop Now "