Kuwaangali watoto wenye umri kwanzia mwaka mmoja hadi miwili.
Kuhakikisha wanalala kwa muda maalum.
Kuwapeleka chooni.
Kuwaogesha.
Kuwalisha.
Kuhakikisha usafi wa mazingira yao.
Mengineyo utataarifiwa siku ya interview
Requirements & Skills
Mchapakazi.
Upende watoto.
Ujue kingereza.
Uweze kufwata maelekezo utakayo pewa.
Ufanye kazi bila kusimamiwa.
Minimum Qualification Requirements
Ujue kingereza na uwe umefika angalau form four.
Minimum Experience
less than 1 year
Awe msichana asiye zidi miaka 26, anaye weza kuwatunza watoto wenye umri wa kwanzia mwaka mmoja hadi miwili, awe tayari kuishi kwenye kota za shule. Tafadhali tuma cv yako kwa kupitia Whatsapp no: TAFADHALI USIPIGE SIMU, TUMA CV TU.