price/bei : unaipata kwa 15,000 tsh tu
Dukani: Kinondonimkwajuni msikitini
Opposite na kituo cha mwendokasi ni rahisi sana kufikika , unaweza piga simu kwa maelezo zaidi .
Delivery:Dar malipo unapopokea mzigo hivyo unaweza kukagua kisha ndio ulipie
Mikoani tunatuma : malipo ni kabla ya kutuma mzigo
Utatumiwa mzigo kwa uaminifu , utapewa risiti ya mzigo na maelekezo jinsi ya kuupata
Kwa maelezo yoyote usisite kutupigia