ANKER PRIME ULTRA- FAST CHARGING Hiki ni kituo cha kuchajia cha Anker Prime (250W). Matumizi yake kwa ufupi: • Kuchaji vifaa vingi kwa wakati mmoja (hadi vifaa 6). • Kuchaji simu, tablet, laptop (MacBook/Windows), earphones, power bank n.k. • Kasi kubwa ya kuchaji (jumla hadi 250W). • Hudhibiti nguvu kiotomatiki kulingana na kifaa (salama na bora). • Inafaa mezani/ofisini badala ya kutumia chaja nyingi tofauti. Kwa kifupi: chaja moja yenye nguvu kwa vifaa vyote vya kisasa