Passo kali sana
plat number c
piston 3
ina mziki mzuri
ina friji yenye kupoza na kupasha moto chakula
ina camera mbele ya kioo inayo record matukio kama ajari
ina sport rims
haija rudiwa rangi
mimi ndiye mwenye hii gari ogopa dalali
iko mbezi beach masana
nataka mteja serious tu