Gari ni nzuri sana ,engine haijawahi kuguswa ipo vizuri kabisa pia haijawahi kuuzwa kabisa tangu inunuliwe ,ndo mara ya kwanza inawekwa sokoni ,plate number ni DZM ,Location yake ni Mwenge karibu na ukumbi wa mwenge social hall ... maelezo zaidi piga