LAUNCH CRP 919E BT
inapima mifumo yote ya gari aina zote
Ina read fault code na clear fault code
inapima gari za volt 12 ukiwa na converter utaweza kupima volt 24 ya light duty car
Inauwezo wa kufanya Bi direction ya control window na n.k
Ina reset function 30+ inasajili nozzle, Throttle, IMMO, DPF n.k
Ni free update ya miaka 3
Brand New version 2024