Watu wameanza kulizwa hata kabla ya sikukuu! Alifuga mbwa watatu. Mbwa wakalishwa sumu, wakafa. Kuku wameenda! Na wewe subiri uibiwe ndo uje nikufungie alarm. Jamani Alarm aina zote ninazo; iwe kulinda Nyumba, gari, pikipiki, TV, Subwoofer, Duka, Supermarket, Frem, Mifugo kama kuku, ng'ombe, Nguruwe, au mazao shambani kama Ndizi, Mihogo, Embe, au hata kulinda bebi wako asichukuliwe mchepuko! Amua sasa. Wajanja wanafunga alarm kabla ya kuibiwa