Gps Tracking Device:
Kifaa cha ulinzi wa gari yako na pia ukupa mizunguko ya gari lako.
-Ukupa taarifa kwa sms au kupitia ya APP (Android, IOS)
-Ina mfumo wa kuzuia wezi yaani Antitheft Alarm System.
-Pia inaonyesha mwenendo (route) za gari au mahali ambapo gari yako ilisimama, endeshwa vibaya, washwa kwa muda wa mwezi mmoja.(One manthly history playback)
-Haina gharama za kulipia tena kila mwezi (maana hii unauziwa).
-Unaweza ukalizima gari lako pindi upatapo tatizo au changamoto.
- Ina mfumo wa fensi ya kielectroniki (Geofence System) kukuhakikishia usalama wa parking ya gari lako.