Mr. kibua welding - fundi mbezi
mbezi, dar - tunakuja site kwako!
huduma:
mageti ya kisasa imara
truss za paa (kanisa, banda, nyumba)
grill za dirisha & mlango
vitanda vya chuma imara
bbq jiko la kuchomea nyama
railing za ngazi & balcony
kwa nini sisi?
kazi safi & imara
tunawahi muda
bei nafuu mbezi
zaidi ya miaka 5 uzoefu
mbezi, goba, kibamba, msigani, dar yote!
#welding #mbezi #fundi