Ad is archive
find similar ads in Books & Games in Kinondoni

  • Archive: Jifunze Kiswahili

Archive: Jifunze Kiswahili

Kinondoni, Dar es Salaam, Tanzania
Brand New
Condition
Books
Type
Adult
Age Level
Archive: Kitabu hiki ni maalumu kwa wanafunzi wa kigeni ambao Kiswahili siyo lugha yao ya mama (lugha ya kwanza). Hii inamaanisha kwamba wanajifunza Kiswahili darasani. Kwa hiyo, wewe mzawa unaweza kukitumia kitabu hiki kumfundishia mgeni, kimepangiliwa kwa mada mbalimbali zinazomlenga mwanafunzi wa ngazi ya kwanza; pili; na tatu. Jiajiri Mswahili kwa kufundisha wageni kwa kutumia zana hii ambayo ni rafiki sana
CLOSED

Maria Provian

Last seen 2 weeks ago

Similar adverts