Sabuni Huimarisha Ngozi Iliyoharibika Na Cream Na Jua
Dar es Salaam, Kinondoni, 27/05
4 views
Sabuni Huimarisha Ngozi Iliyoharibika Na Cream Na Jua
+1
1
Soaps
Type
Woman's
Gender
Vitamin E, Aloe Vera
Ingredients
Stick
Formulation
250ml
Volume
Lemon
Scent
Face
Body Area
Sensitive Skin
Skin Type
All Natural
Features
Sample Size
Size
Plastic Bottle
Packaging
6month
Period After Opening
Store address
Dar es Salaam • Kinondoni
Kinondoni-Victoria
Closed
• Mon - Sat, 06:00-20:00
KWANINI AVOCADO FACE & BODY SOAP Ni sabuni ya parachichi ina na aloevera pia imechanganywa na glycerin ya mafuta ya nazi na mchikichi kwa ajili ya kutunza unyevu na kulainisha ngozi... Zaidi ya hapo ina vitamin A,B,D na E kwa ajili ya kusafisha taka taka kwenye mwili na kuzibua vitundu vya ngozi yako na kuifanya ngozi iweze kupumua vizuri. Ina harufu nzuri ya matunda ya citrus (limao) inayofanya mwili wako unukie vizuri, kukata harufu mbaya ya jasho. Inafaa kutumiwa kwa watu wote, watoto, watuwazima wakike na wakiume. *FAIDA ZAKE.* *kuondoa ngozi ilochoka. *kuzibua vitundu vya ngozi. *kukulinda na magonjwa ya ngozi kama chunusi, harara, muwasho na fangas. *kulainisha ngozi, na kukupa hafufu nzuri... *Uzuri wako unasababu ya kutumia bidhaa zisizo na chemicali ili kulinda afya ya ngozi yako* TUPIGIE KUPATA SABUNI YAKO POPOTE ULIPO,