Hello, je unatumia nini kwenye makwapa yako uyafanye yanukie fresh siku zote, tatizo kubwa la watu wengi kwasasa ni weusi sugu uliopo kwenye makwapa, huwa unasumbua sana, sasa deodorant stick kutoka forever imetengenezwa na aloevera kwa wingi na upekee wa deodorant hii ni haina aluminium na aspirant kufanya weusi uondoke ndani ya wiki moja makwapa au mapaja kwa wadada yanakuwa meupe, ni nzuri sana na haina harufu kali so mtu yoyote anaweza kutumia, na pia ni bei nafuu.