ANATIC SOAP.
Inaondoa na kuzuia chunusi.
Inazuia ngozi kukakamaa.
Inaondoa mikunyanzi na kuondoa michirizi.
Inazuia ngozi kuwa na mba na mapunye.
Inaondoa weusi makwapani na kwenye mapaja.
Inalainisha ngozi na kung'arisha bila kuathiri ngozi halisi.
Inafungua njia za jasho na kusaidia ngozi kujisafisha vizuri.
huondoa harufu kali ya jasho na kukiacha shwari muda wote.
Inaondoa sugu zitokanazo na miale ya jua au kutoka kwenye uzazi.