Sport Gym Bag ni begi maalumu la kubebea vifaa na mahitaji ya mazoezi ya viungo. Limeundwa kwa ajili ya watu wanaopenda fitness, wanariadha na wanaokwenda gym mara kwa mara. Linakusaidia kuhifadhi na kupanga vitu vyako kwa urahisi wakati wa mazoezi au safari