Mabegi haya yanakupa hadhi na pia wepesi wa kubeba mizigo au nguo zako bila kutumia nguvu kwa kuburuza pia mabegi haya yapo kwa ukubwa na rangi tofauti zinazovutia na kufanya uonekane wathamani kwenye safari yako.pia ukikunja nguo kwenye begi hili sahau kuhusu kujikunja kunja kwanguo na pia yanasaidia kwenye mvua kwani hayaingii maji kwa sababu yametengenezwa na material ya plastik yatakayokinga nguo zako zisinyeshewe