Karibu kwa huduma bora za ufundi wa magari kwa bei nafuu na kazi yenye ubora.
Tunatoa huduma zifuatazo:
- Matengenezo ya injini za magari.
- Uchunguzi na utatuzi wa hitilafu za magari.
- Matengenezo ya mfumo wa timing.
- Matengenezo ya magari ya aina mbalimbali.
- Kubadilisha vipuri na kufanya service za magari.
- Ushauri kuhusu matatizo ya injini na utendaji wa gari.
Tunafanya kazi kwa umakini, uaminifu na kuhakikisha mteja anaridhika na huduma anayoipata.
Eneo: Dar es Salaam – Kinondoni,