Highly quality original wireless bluetooth and waya thermal printer.inaprinti picha,mandishi, browser,table,risiti,cord,stika,na vitu vingine vingi.unaprinti kwakutumia simu,pc,desktop na tablet,by bluetooth au cable waya.hii ni ya kisasa mno,unaichaji na chaja ya simu ama powerbank.inakaa na chaji mda mrefu sana,batri lake linatunza chaji kwa mda mrefu.haiongezewi wino.wino wake ni wa waranti ya miaka kumi ndo uishe.(10yrz).roll zake za karatasi zinapatkana kila kona usihofu kuhusu hlo
Condition: Brand New