*kiwanja kinauzwa*
kiwanja kipo gongo la mboto mwisho mbele kidgo ya shule ya st. thomas secondary na karibu na chuo kikuu cha kampala.
umbali kutok nyerere road mpak kiwanja kilipo ni mita 500
kiwanja kinaukubwa sqm 300 (15*20)
kiwanja kinafikika kwa gari na na huduma za kijamii zinapatikan kiurahis
bei maongez yapo.
kwa mawasiliano
Kiwanja kinauzwa kipo katika hali nzuri,,kiwanja kipo katika eneo la kijichi miande,,eneo lina ukubwa wa urefu mita 50 na upana mita 30... kuna barabara ya lami mpaka eneo la kiwanja... , kiwanja hakina mgogoro wowote... bei ni milioni 70
Kiwanja kinauzwa kipo kihonda karibu na stendi kuu ya mwendokasi, kiwanja kimepimwa na kina offer tayari manispaa, pamejengeka vizur na kuna umeme na maji, ukubwa ni sqm 838 au 20 kwa 43, kinauzwa kwa milion 8 .piga kwa kukiona na kufanya uhakiki wa uhalali manispaa ofis za ardhi kabla ya kufanya malipo yoyote
Kiwanja kipo kigamboni mwasonga mwisho wa stand. umbali wa kutoka barabarani ni dk 5 tu. eneo lipo katikati mbele na nyuma kuna nyumba, pembezoni kimepakana na viwanja. maongezi yapo
Kiwanja kinauzwa Airpot njia panda ya segerea kituo cha pili kutoka lango la airpot .
kiwanja kipo mtaa mzuri na tulivu .
katika kiwanja kuna banda lenye vyumba 3 vya kuishi