Car Parking, Rain Water Drainge, Electric Supply, Water Supply
Facilities
plot for sale at ubungo makoka shule; sqm 440 hiki kiwanja kimeshuka bei kutoka kamili akina mazungungumzo tena kimelipiwa na kina mawe bado kuchua hati tu kipo ubungo makoka shule ukubwa 20 x 22
Kiwanja ni namba 17 block b mapinduzi, makulu - dodoma mjini, huduma za umeme na maji zipo. ni sehemu iliyojengeka kisasa sana pia kina hati kubwa ( 99 yrs )
plot for sale at ubungo makoka shule; sqm 440
hiki kiwanja kimeshuka bei kutoka kamili akina mazungungumzo tena kimelipiwa na kina mawe bado kuchua hati tu
kipo ubungo makoka shule
ukubwa 20 x 22
Kiwanja kina sqm 561 na kina hati miliki, kiwanja kipo kibaha mtakuja pangani na kiwanja ni kizuri sana na hakiko mbali sana na barabara... serious buyers maongezi yapo
Kiwanja kizuri sana tambalale kinauzwa kipo madale kwa kawawa.
loc.: madale kwa kawawa.
ukubwa : ~24 kwa 20
umiliki : kiwanja kimepimwa na mawe yamepandwa lakin hati bado.
#kiwanja kinauzwa
>kipo bunju
>bei milion 25 maongezi yapo
>kina ukubwa wa nusu eca na kipo tambalale na kizuri balaaa
>huduma zote za kijamii zipo na pia usalama wakutosha kama unavyo ona picha pia akina mgogolo kabisa
Plot for sale
location: mbezi beach round about dsm
terms of payment: full
specifications:
4000 square meter
full titled deed
2 min distance from maim road
service charge
Kiwanja kinauzwa kibaha mlandizi.
Ukubwa wa 30 kwa 35
Bei milioni saba
Umbali mita 600 toka morogoro road
Maji na umeme vyote vimefika kwenye kiwanja
Kipo sehemu tambalale
Kiwanja kinauzwa kibaha kongowe.mtaa wa ugindoni.
Kiwanja kimepimwa
Umbali km 2 toka morogoro road.(ata kwa miguu unatembea)
Ukubwa wa robo eka
Umeme na maji vyote viko pembeni ya kiwanja
Bei million 15
076*********