• 3bdrm Bungalow in Kimara Temboni for sale
More 6 photos "3bdrm Bungalow in Kimara Temboni for sale"

3bdrm Bungalow in Kimara Temboni for sale

Posted 30/11
Kimara, Kinondoni, Tanzania
137 views
Kimara Temboni
Property Address
kimara temboni
Estate Name
Bungalow
Property Type
Newly Built
Condition
Semi-detached
Subtype
3
Bedrooms
2
Bathrooms
Unfurnished
Furnishing
Tiled Floor, Pre Paid Meter, Kitchen Cabinets, Dining Area, Microwave, Refrigerator, Security, Chandelier, Air Conditioning, Balcony, Hot Water, Dishwasher, Pop Ceiling, 24 Hours Electricity, Kitchen Shelf, Wardrobe
Facilities
Yes
Parking Space
400
sqm
Property size
Yes
Agency Fee
20000
Agent Fee
Nyumba kubwa ya kisasa inauzwa
nyumba hii kubwa ya kisasa ina vyumba 3 vikubwa sana vya kulala kimojawapo ni master bedroom kubwa sana, sebule kubwa, dining, jiko kubwa la kisasa, store na choo cha familia
ukubwa wa eneo ni 25/30 meters
#eneo limelasimishwa
#document ni document safi za mauziano kutoka serikali
bei ni milion 80 maongezi yapo
nyumba hii ya kisasa ipo kimara temboni upande wa kulia km unaenda mbezi kutoka morogoro road hadi kwenye nyumba ni km 2 usafiri ni bajaji ukishuka tuu kwenye bajaji unatembea dk 3 upo kwenye nyumba
nyumba hii ina mpangaji na analipa kodi ya shilingi kwa mwezi
nyumba hii haina mgogoro wowote nyumba ipo salama mwenye nyumba anauza ili aweze kujiendeleza zaidi kimaisha
 • 3bdrm Bungalow in Kimara Temboni for sale
 • 3bdrm Bungalow in Kimara Temboni for sale
 • 3bdrm Bungalow in Kimara Temboni for sale
 • 3bdrm Bungalow in Kimara Temboni for sale
 • 3bdrm Bungalow in Kimara Temboni for sale
 • TSh 65000000
  Last seen 13 hours
  0713636000
  Tell the seller that you found the Ad on Jiji.co.tz

  Similar adverts