Apartment nzuri ya kisasa inapangishwa
apartment hii ina sifa zifuatazo
#chumba kikubwa
#sebule kubwa
#jiko zuri open kitchen
#choo kizuri cha ndani kwa ndani (public toilet)
#luku na mita ya maji dawasa inajitegemea
#parking kubwa
!!inayopangishwa ni ya juu gorofani
bei ni 250k x 3
ilipwe laki 2 na nusu kwa mwezi malipo ya miezi 3
apartment hii ipo kimara temboni upande wa kulia kama unaenda mbezi kutoka morogoro road hadi kwenye nyumba ni dk 6 tuu kwa miguu
garama ya kuoneshwa nyumba hii ni shilingi elfu 15 na ukiipenda nyumba hii utalipia pesa ya udalali kodi ya mwezi mmoja
no chain hapa (namaliza pambano)