Apartment nzuri ya kisasa inapangishwa kimara baruti njia ya kuelekea chuo
apartment hii ni mpya na ina sifa zifuatazo
#chumba kikubwa master
#sebule kubwa
#jiko kubwa zuri linamaliziwa kujengwa
#luku inajitegemea
#maji dawasa yanatoka ndani masaa 24
#parking
bei ni 250k x 6
ilipwe laki 2 na nusu kwa mwezi malipo ya miezi 6 na kuendelea
apartment hii ipo kimara baruti upande wa kulia kama unaenda mbezi kutoka morogoro road hadi kwenye nyumba ni km 1 usafiri ni pkpk sh 1000