Ramani ya vyumba viwili vyote vya kawaida(amna masta) sebule, jiko, stoo na dining, public toilet... kwa milioni kumi unamaliza ujenzi wake mpka finishing... kupata ramani yake tuwasiliane
Nimeshusha bei ninashida ya hela haraka sana njoo tuyajenge kama upo serious
nipigie
kama upo serious tu na unaweza kuja moshi au arusha kwa ajiri ya biashara hii week
Laptop ipo kwenye hali nzuri inakaa na charge 1hour
exchange allowed with min laptop
ina 80gb hdd
speaker moja inakwaruza kwa mbali sana ukiweka sauti mpaka mwisho ila ipo safi kabisa