#vyumba_vitatu_mpyaa
mpya za^ kisasa
inapangishwa
iko-dar-es-salaam tz
mahali:kijitonyama
______________
kodi tshs milioni ( 1000000)/=kwa mwezi
_________________
malipo ya miezi 6
_____________
ya kifamilia
_______
yenye:-
vyumba vitatu,vya kulala #kimoja ni masta #sebule #dinning #jiko #choo/#bafu vya ndani public
#gypsum #tiles
#umeme upo wa #luku yake
#maji yapo ya #bomba #24hrs
cars #parking space ipo kubwa
nje #pavingblocks
#fencedhouse
___________