tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Property
  3. Land & Plots for Sale
  4. Residential Land for Sale
Dar es Salaam, Temeke, Kigamboni, 18/07
2 views

Viwanja Vinauzwa Mbutu Dege Kigamboni

+1
1
Residential Land
Type
400 sqm
Square Metres
Residential
Property Use
Car Parking, Domestic Sewage, Electric Supply, Gas Supply, Rain Water Drainage, Water Supply
Facilities
Vinauzwa na Property Investors Company (PIC) yenye ofisi zake nyuma ya Ubungo plaza,Viwanja hivi vina sifa zifuatazo: Vipo umbali wa km4 toka Maghorofa ya Dege Ni Viwanja Vilivyopimwa tayari Kwa matumizi ya Makazi Vipo karibu na Bahari,umbali wa km1 Vipo vya ukubwa mbali mbali kuanzia SQM 400(25 Kwa 16) na kuendelea Malipo ni Kwa cash na kidogo kidogo Bei ya Viwanja ni kuanzia million 6.8 Siku za Kutembelea site ni kila Jumatano, Jumamos na Jumapili. Miradi yetu mingine ipo maeneo ya Mwembe Mdogo Kigamboni,Pangani Kibaha, Misugusugu, Vigwaza Kwala, Kerege Bagamoyo, Bunju, Madale, Mabwepande,Goba.
Viwanja Vinauzwa Mbutu Dege Kigamboni
TSh 7,200,000 Outright Price
Negotiable
1 Feedback view all
Report Abuse
Safety tips
  • It's safer not to pay ahead for inspections
  • Ask friends or somebody you trust to accompany you for viewing
  • Look around the apartment to ensure it meets your expectations
  • Don't pay beforehand if they won't let you move in immediately
  • Verify that the account details belong to the right property owner before initiating payment