Plot For Sale

Posted Sep 19
Kigamboni, Temeke, Tanzania
473 views
Mixed-use Land
Type
400
sqm
Square meters
Yes
Exchange Possible
📌viko - dar es salaam kigamboni - new golani
*viwanja vina ukubwa wa sqm 400# na kila kimoja ni sh1.5m cash na unaweza kununua kiwanja zaidi ya kimoja.
📌ufikaji kwenye viwanja.
Ukitoka ferry unakuja mpaka kimbiji centre mbele ya kiwanda cha nyati cement.
📌nyaraka za umiliki.
*viwanja vina mkataba wa mauziano na vimepimwa.
📌miundombinu
* barabara ni nzuri na inapitika vipindi vyote
(kiangazi,masika,vuli)
* umeme wa rea umeshafika
*maji yapo (yakudrill)
*eneo ni tambarare na ardhi yenye rutuba.
* huduma za kijamii haziko
📌namna ya kufika kwenye mradi.
* siku maalum ya kuona mradi ni jumamosi , ila kama
kuna mteja ana muda katikati ya wiki anaweza
kuwasiliana nasi siku moja kabla ya kupekwa.
* kwa atakaye hitaji viwanja awasiliane nasi ili
tumtumie ramani aweze kuchagua viwanja
atakavyopenda.
078 xxx
 • Plot For Sale
 • Plot For Sale
 • Plot For Sale
 • Plot For Sale
 • TSh 1,600,000
  Last seen 3 hrs ago
  078 xxx
  0783145142
  Tell seller that you found ad on Jiji.co.tz
  Please read safety tips
  • Do not submit any upfront fees for a real estate inspection.
  • Do not go to unfamiliar places alone.
  • Double check real estate agency background.

  Similar adverts