• sehemu: ungindoni
• kodi: tzs 1,000,000/mwezi
• muda wa malipo: miezi 6
• kupelekwa kuona: tzs 20,000
• malipo ya kamisheni ya dalali yatatozwa
.
vyumba vitatu vyote master • sebule 2 • jiko • stoo • washroom za jumuiya 2 • viyoyozi • feni za juu • luku • maji • gypsum darini • malumalu sakafuni • kabati jikoni • kabati vyumbani • uzio • paving • maegesho ya gari • mazingira tulivu
.
• visit our listing to find more and different properties.
• if you can't get enough of our properties, send a request of your choice through our contacts